KIPESILE | 21 |

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 апр 2025
  • #10ontrending
    Karibu katika Group letu la WhatsApp kwa USHAURI na MAONI binafsi kuhusu kazi zetu
    chat.whatsapp....
    #TwinsNationTz #aderymasta #kipesile #BabaJoan #txdullah #clamvevo #bestfriendclamvevo #bigbossClamVevo
    #AderyMasta #ComedyMpya #standupcomedytanzania #tanzaniacomedians #osogocomedy #ttcomedianvideos #bujingocomedy #ttcomedianlatest #mifugotanzania #BichwaProduction #directorbravo #KaziMedia #MrNavvyOg #txdullah #NduttuM1 #Bhailam #KPwaAquino #ComedyPlus #ShadowTV #TwinsNationTz #BabaJoan #EPMMEDIA #focusstudio16
    #AderyMasta #ComedyMpya #standupcomedytanzania #tanzaniacomedians #osogocomedy #ttcomedianvideos #bujingocomedy #ttcomedianlatest #mifugotanzania #BichwaProduction #directorbravo #KaziMedia #MrNavvyOg #txdullah #NduttuM1 #Bhailam #KPwaAquino #ComedyPlus #ShadowTV #TwinsNationTz #BabaJoan #EPMMEDIA #FocusStudio16#TwinsNationTz #BabaJoan #txdullah #clamvevo #bestfriendclamvevo #bigbossClamVevo
    #AderyMasta #ComedyMpya #standupcomedytanzania #tanzaniacomedians #osogocomedy #ttcomedianvideos #bujingocomedy #ttcomedianlatest #mifugotanzania #BichwaProduction #directorbravo #KaziMedia #MrNavvyOg #txdullah #NduttuM1 #Bhailam #KPwaAquino #ComedyPlus #ShadowTV #TwinsNationTz #BabaJoan #EPMMEDIA #FocusStudio16 #BossMchawi #ChingaMedia #kichechecomedy #biggboss
    Subscribe our RUclips channel for more Drama from Adery Masta Tanzania
    Clam VEVO
    Boss mchawi / 28 /
    Boss episode 28
    Boss mchawi ep28
    Big boss
    clam VEVO big boss 11
    Clam VEVO comedy
    LAST CARD 25
    kp wa aquino
    Kicheche comedy
    Asma comedian
    House Of Horror
    horrorstory
    wrong House 4
    Wrong House 5
    Mwanafurnzu WA Ajabu
    snake Boss season 2 episode 16
    Raha diamond
    baba joan
    wrong House 6
    Shado tv
    wrong HOUSE / 1 /
    komasava
    diamond komasava
    Bhailam tv
    Twins nation
    mistake 7
    Mweusi Family
    nigeria movie plus
    wake wenza
    kicheche
    Steve mweusi
    Ndoro mjeshi
    mjeshi kikofia
    yanga tv
    snake Boy 17
    Simba Tanzania
    nbs premier league
    snake Boy l 16 l
    Ngao ya jamii Tanga
    azama tv
    Boss Mchawi 17
    Boss mchawi episode 17
    Boss mchawi CHINGA media
    Azam fc
    Boss mchawi Ep 20
    Luis Miquisson
    Esomba onana goals
    Penzi la mchawi
    Cheka tu
    Txdulla
    Clam VEVO mwanafunzi mchawi
    uchanbuzi wa kina
    baraka mpenja
    mpenja tv
    clouds media
    Boss
    wasafi media
    edigital
    Wasafi festively 2023
    jua kali
    maisha magic bongo
    #aderymasta #kipesile #TwinsNationTz #BabaJoan #txdullah #clamvevo #bestfriendclamvevo #bigbossClamVevo
    #AderyMasta #ComedyMpya #standupcomedytanzania #tanzaniacomedians #osogocomedy #ttcomedianvideos #bujingocomedy #ttcomedianlatest #mifugotanzania #BichwaProduction #directorbravo #KaziMedia #MrNavvyOg #txdullah #NduttuM1 #Bhailam #KPwaAquino #ComedyPlus #ShadowTV #TwinsNationTz #BabaJoan #EPMMEDIA #FocusStudio16

Комментарии •

  • @MohamedSwaleh-ux5jk
    @MohamedSwaleh-ux5jk 4 месяца назад +40

    Wa kwanza kutoka Kenya 🇰🇪 napeperusha berenda like kumi tu movie Kali sana

  • @Paschal-jq3ig
    @Paschal-jq3ig 4 месяца назад +76

    Unyama saana kama unampenda baba buda weka like apa😊

  • @SifaClaudia-m3w
    @SifaClaudia-m3w 4 месяца назад +162

    Anae mkubali baba alima weka makopa kop apa❤❤🎉🎉

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 4 месяца назад +10

    Mama kipesile 😂😂😂 mwezi wa pili mwisho tareh 30 duuh upingaje hap kweli wajua kosoma ww Shan 😂😂😂 halima n baba yeke mashaallah Hila baba halima nakubali San unaona mbali San Kwa b mdogo kumeanza kuchangamka mast wangu kumbe yup bafuni wakati ndani kwako kumeanza kudashi sasa mambo ni 🔥🔥🔥🔥 uku Kwa ticha Shan yup kwenye ndege wp ten hyoo bubai Oman 🇴🇲

  • @RamaJames-d2d
    @RamaJames-d2d 4 месяца назад +31

    Waomkubari kijan mdog mweny kipaji kipesile weken like zenu nizione

  • @thumasassi
    @thumasassi 4 месяца назад +45

    nani amefurahi kuona movie imetoka😂 tunaendelea tulipoachia,,anaemkubali baba halim na madam gonga likes zko😊 anae amini kuwa MUNGU ndio kila kitu katika maisha yetu na yy ndio kimbilio letu gonga likes zko ili tuendelee na movie yetu kali😂❤😊🎉

  • @Akilimbilicomedy77
    @Akilimbilicomedy77 4 месяца назад +83

    Jamani tim baba halima tujuane kwenye like jamani 🎉🎉🎉🎉

  • @FredrickEdward-k3q
    @FredrickEdward-k3q 4 месяца назад +236

    Tunao mpenda huyu mzee shusha like hapa

  • @SylvesterPhilipo-dv8vs
    @SylvesterPhilipo-dv8vs 4 месяца назад +22

    Wanaokubali baba halima apewe 🎉🎉🎉 yake weka like hapa

  • @MERCYMWIAMUSEMBI
    @MERCYMWIAMUSEMBI 4 месяца назад +10

    Hongera Baba Halima chukua maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @LorineAbuko
    @LorineAbuko 4 месяца назад +9

    Tulia babangu relax kunywa maji😂😂😂

  • @MerySilayo-o7t
    @MerySilayo-o7t 4 месяца назад +5

    Baba halima pongezi nakupenda sana

  • @CollinsMenza
    @CollinsMenza 4 месяца назад +20

    hamjambo jamaa zangu hki kipindi ni kizuri tusisahau kuweka like hata mie naomba like zenu

  • @RehemambwanaGemailMbwana
    @RehemambwanaGemailMbwana 4 месяца назад +4

    baba halima ww ndo dereva wa hii movie ❤ hongera xn

  • @Fazila-j2s
    @Fazila-j2s 4 месяца назад +12

    Wa mwisho leo ku toka DRC🎉🎉🎉 hongera mzee

  • @MonicaMtindo
    @MonicaMtindo 4 месяца назад +7

    Anaesoma comment hii Mungu ambariki

  • @RukiaMkwazu
    @RukiaMkwazu 3 месяца назад

    Imanindo kilakitu jamani tumuombeni mungu na tumshirikishe mungu kwa kilakitu❤❤

  • @FatmaThabithi-i7m
    @FatmaThabithi-i7m 3 месяца назад +3

    Nakukubar xan kipesil move nzuri san ❤❤❤

  • @tatutatu6516
    @tatutatu6516 4 месяца назад +4

    Nuru Walter kutoka Mombasa kenya 🇰🇪 nmefurahi kwa huyu mzee baba halma 💖 kma wamkubali n uko pamoja n Mimi naomba likes bc hta kma n 20

  • @HidayaHamisi-w5k
    @HidayaHamisi-w5k 4 месяца назад +8

    Oyaeeee mafiki zangu wakishua like hap ya familia ya Baba buda

  • @joshuanjane4701
    @joshuanjane4701 4 месяца назад +24

    Wa kwanza kutoka kenya...TANA river county

    • @Vincent-u8x
      @Vincent-u8x 4 месяца назад +1

      From kisii kenya mwezangu🇰🇪🇰🇪

  • @KoechEli
    @KoechEli 4 месяца назад +14

    Wa kwansa kutoka kenya wapi likes sa shani

  • @RebekaJaphetp
    @RebekaJaphetp 4 месяца назад +1

    ❤❤❤❤❤ ILove you ba harima❤❤❤❤❤ tunaomkubali baba halima tujuane hapa na mungu awabariki sana

  • @ShakibD-w4o
    @ShakibD-w4o 4 месяца назад +5

    Mzee namkubali uyo

  • @NasraFahmy-j9y
    @NasraFahmy-j9y 4 месяца назад +4

    Baba halima nakukubli san honger🎉🎉🎉

  • @OengaMildred
    @OengaMildred 4 месяца назад +6

    Keep it up good work team adery ❤❤hira gonga like tano to za baba hamina nawaomba 😂😂❤

  • @YohanaMalecka-kl8kz
    @YohanaMalecka-kl8kz 4 месяца назад +5

    Team kp mnajitahid San kukoment move za wenzen. Mungu awabrk

  • @Alvinemmanuel-f7q
    @Alvinemmanuel-f7q 4 месяца назад +4

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 🎉🎉🎉 kipesil ni balaa wew ongez juhudi kipenz.

  • @MonicaRenatus-g6m
    @MonicaRenatus-g6m 4 месяца назад +1

    Namm kati walio wah namm nimewah baba halima kazi nzuri kusngalia familia kwa makini saana mauwa apewe🎉🎉🎉❤🎉🎉

  • @RukiaMkwazu
    @RukiaMkwazu 3 месяца назад

    Imanindo kilakitu jamani tumuombeni mungu na tumshirikishe mungu kwa kilakitu

  • @leahchizi
    @leahchizi 4 месяца назад +3

    Safi Sana mzee una roho nzuri kweli😊🎉🎉🎉

  • @Dady-e5f
    @Dady-e5f 2 месяца назад

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉baba harima wanaependa mikono juuuu naomba like

  • @AishaRashed-m5o
    @AishaRashed-m5o 4 месяца назад +3

    Anaye mkubal kipesile 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @GiftMichael-l4e
    @GiftMichael-l4e 4 месяца назад +1

    Team baba alima tujuane jaman nafrai kuona movie inatok mapema❤❤

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 4 месяца назад +1

    😂😂😂😂Huyu handsome wa kipesile hâta mimi hapana ntakimbia🙌🏃🤸

  • @mathiaskiuwa1353
    @mathiaskiuwa1353 4 месяца назад +4

    Shanny kadanganya 😂 ww hakuna tarehe 30 mwezi wa pili 😂😂

  • @AshuraIssa-j8s
    @AshuraIssa-j8s 4 месяца назад

    Dah!yaan acha tu nicheke 😂😂😂 maan sio kwa mishtuko hyo kipesile na mama yako mmejua kunivunja mbavu.

  • @luvboynyamz27
    @luvboynyamz27 4 месяца назад

    Adery,kuna yule mdada Everlene wa Baada ya Kifo...nimemmiss sana,dada ana sura fulani ya upole...naomba pia awepo huku kwenye kipesile kama hutojali

  • @shomarykondo-h7z
    @shomarykondo-h7z 4 месяца назад +32

    Jamn Leo wakanza naomben like 🎉🎉🎉

  • @MwanaNoti
    @MwanaNoti 3 месяца назад

    Nimemkubali baba halima na huyu halima amshukuru sana baba yake

  • @MaulidMsongoro
    @MaulidMsongoro 3 месяца назад

    Mama jau uyo terehe 30 ya mwezi wa pili inatoka wap 😂😂😂😅

  • @TantineZuzu
    @TantineZuzu 4 месяца назад +1

    Yani venye uyo mupfu amejishika kifuwa nimecheka yangu yote 😂😂😂😂😂😂

  • @HappyCityMap-vs2tr
    @HappyCityMap-vs2tr 4 месяца назад

    Wee Halima wajifanya mshauri kw baba, eti relax mi najitambia😂😂😂 Wacha Ako ka tululu kalie😅😅 na mdomo huo

  • @Dady-e5f
    @Dady-e5f 2 месяца назад

    2po weng uyu mzeee baba halim mkali mkali wao na madamu wanaompenda mikono juuu

  • @Salama09Kwale-c8b
    @Salama09Kwale-c8b 4 месяца назад +2

    Watu na ndege zao😂😂😂😂😂😂

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 4 месяца назад

    Yaani naipenda sana hii movie❤

  • @fatumakushonda4277
    @fatumakushonda4277 3 месяца назад

    Mtu w kutengenezwa sie handsome 😂😂

  • @AhmadAlaee-x1r
    @AhmadAlaee-x1r 4 месяца назад +2

    Mwalimu mzur namueka kweny kundi la baba halima❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @AnnaMelickzedeck
    @AnnaMelickzedeck 4 месяца назад

    Baba Halima yuko bomba sana kashaona madudu ya shani😂
    M

  • @GloriaMumbua-s9x
    @GloriaMumbua-s9x 4 месяца назад +4

    Napenda baba halima sana dah mzee anajua kuigiza jameni 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉maua kwake

  • @CynthiaWaeni-n2s
    @CynthiaWaeni-n2s 4 месяца назад

    Hii movie Kali jameni 🎉

  • @DishaniDisha-zm2gm
    @DishaniDisha-zm2gm 4 месяца назад +4

    Kazinzuri sana

  • @StanleyaStella
    @StanleyaStella 2 месяца назад

    Leo baba ake mdogo kipesile kawa mweupe katoa wapi weupe 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 😅😅😢😢😢😢😢😂😂😂 I 😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @Noéslave
    @Noéslave 4 месяца назад +4

    Cinéma kali na kazi nzuri asanteni nipeni likes apo 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @philipmutua6643
    @philipmutua6643 4 месяца назад +2

    Tarehe 30/2 mwaka uliopita😂😂😂😂😂😂❤

  • @NEPSHARDWARE
    @NEPSHARDWARE 4 месяца назад +4

    Kisesa product prince ilumba hongera sana

    • @princeilumba
      @princeilumba 4 месяца назад +1

      lazima kisesa isimame

    • @DaudBulegea
      @DaudBulegea 4 месяца назад +1

      Like kwa kipesle 🎉🎉🎉

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 месяца назад

    😂😂😂😂😂😂kipesilee na mamake msinichekeshee jamani 😂😂😂😂😂😂mashiko mageniii😂😂😂😂

  • @JenifaJenifapaul-lx7wb
    @JenifaJenifapaul-lx7wb 2 месяца назад

    Wapenda ni sehemu gani inakuvutia sana kwenye kipesile

  • @RachealMutheu-q8s
    @RachealMutheu-q8s 4 месяца назад

    Hki baba halima musimuondoe plz kwahii kipindi mukimtoa kipindi kitaboo bt nawapenda sanaa congratulations kwenu nawapenda sanaa🥰😍😍

  • @JacksonMagige-z8y
    @JacksonMagige-z8y 4 месяца назад

    Aise mnachelewa sana epsod nyingine,piga 21-30 tunapoa❤🎉

  • @YasiminiKageha
    @YasiminiKageha 4 месяца назад

    Halima unaogea sana muacha baba afikiria mambo yake

  • @RehemaEmmanuel-tt7nv
    @RehemaEmmanuel-tt7nv 4 месяца назад +1

    😂😂😂😂jmn uyo kak Alo tengenazwa duuuh n noma

  • @TightnotChome-fn2jy
    @TightnotChome-fn2jy 4 месяца назад +1

    Mashikilo mageli 😂😂😂😂ila mamake kipesile noma

  • @DeusMatondo
    @DeusMatondo 4 месяца назад +2

    One love kwa baba halima

  • @GiftAlfred-cw5mm
    @GiftAlfred-cw5mm 4 месяца назад

    Mmh😂😂watu wanalala humu jamani nawasalimia habr zenu mungu awabariki nyote tupo pamoja mwanzo mwisho nawapenda❤

  • @ObwanaDayon
    @ObwanaDayon 3 месяца назад

    Mimi nakubali kipesile😂

  • @EmmilianaWekesa
    @EmmilianaWekesa 4 месяца назад +2

    @Adery Masta kazi nzuri ila muda mfupi sana,jamani tuongezee muda tafadhali much love from Saudi Arabia ❤❤

  • @edisonlwambi3034
    @edisonlwambi3034 4 месяца назад +1

    Sure this Mzee Yuko ngangari

  • @JeniphaBosco-im2rq
    @JeniphaBosco-im2rq 4 месяца назад

    Makopa kwa baba halima ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @KakuleHabibu
    @KakuleHabibu 4 месяца назад

    Ahsante kwa kazi baba hakima

  • @AbdulrazaqueNfaumeAli-s4u
    @AbdulrazaqueNfaumeAli-s4u 4 месяца назад +1

    Weka alam ya sapoti apa kama kweli unampenda hii team 🎉🎉 from mozambiqui 🇲🇿🇲🇿

  • @MwanahamisiMbembeni
    @MwanahamisiMbembeni 4 месяца назад +1

    Uyu mzee asife jamani 🎉🎉

  • @NgarabaJuma-g9i
    @NgarabaJuma-g9i 4 месяца назад

    Wa kwanza Mimi Kwa baba halima kutoka. Tnz

  • @JoyceWazir
    @JoyceWazir 4 месяца назад +1

    😅😂nimechk jamaa anajishik maziw

  • @VeronicaMussa-lu1yw
    @VeronicaMussa-lu1yw 4 месяца назад

    Mko vizur punguzen maelezo marefu sana sehemu moja yaan unakuta watu wawili wanautumia sana muda kwa maelezo

  • @MuhammadJaffary-uu6zl
    @MuhammadJaffary-uu6zl 4 месяца назад

    Hahaha 😄 🤣 😄 kipesile kudaladek nguvu zote hizo zitaambulia patupu

  • @Ivan-pr9ry
    @Ivan-pr9ry 4 месяца назад +2

    Wa kwanza APA kutoka drc 🇨🇩🇨🇩 Congo like jamani

  • @bintiomar8924
    @bintiomar8924 4 месяца назад +2

    ❤❤❤ mauwa yako baba khalima

  • @SostenTovagonze
    @SostenTovagonze 4 месяца назад

    ❤❤❤❤❤ nampenda Sana kipesil

  • @LoveLove-z8v
    @LoveLove-z8v 4 месяца назад

    Uyu mzee Noma sana

  • @Rahema123
    @Rahema123 4 месяца назад

    😂😂Mbona mashikolo mageni😂😂duh yan kipesi na mm yako 🤣 mmenichekesh sana 😂😂😂

  • @MussaMwigasa
    @MussaMwigasa 4 месяца назад

    😀😀et unapaa mchanaaa😂😂

  • @ميريم-ط1س
    @ميريم-ط1س 4 месяца назад +2

    Mm naomba tu hii ndege ya shani 😂😂

  • @FAIZAWESAAMANI
    @FAIZAWESAAMANI 4 месяца назад

    Mimi hapa namsapoti bake buda😂

  • @MaggieShani
    @MaggieShani 4 месяца назад

    🇰🇪🇰🇪 kutoka Kenya napenda movie zenu mno❤❤❤❤❤

  • @VeronicahOtwori
    @VeronicahOtwori 4 месяца назад

    😂😂😂😂😂😂😂uchawi bana noma sana hila huyu kipesile duuh unatisha

  • @ZawadiKatungu-s5r
    @ZawadiKatungu-s5r 4 месяца назад

    Muze ubarikiwe vraiment

  • @PenielMbuguje
    @PenielMbuguje 4 месяца назад

    baba halima nakupenda sana

  • @MoyeMuddy
    @MoyeMuddy 4 месяца назад

    Elewa mungu ni mkubwa kuliko sisi 🙏

  • @athumanwazir6139
    @athumanwazir6139 4 месяца назад +1

    Tunaomba isichelewe sana movie ni nzuri sana

  • @SaidiKazungu-f8m
    @SaidiKazungu-f8m 4 месяца назад

    Kazi nzuri sana team kipesile mko vizuri na kazi zenu''big up sana.

  • @NuruAbeidAbeidNuru
    @NuruAbeidAbeidNuru 4 месяца назад

    Ana kifua cha penzi 😂😂😂 mwalimu tetema Yule ampende huyu 😂😂😂😂

  • @NagibKhamis
    @NagibKhamis 4 месяца назад

    Bilaaaa shakaaaa usijaliiii badooo tukopamojaaaaa,na kwa ombiiiii lakoooo tutalitekelezaaaaaa bila wasiii,tukooo kwa ajiliii yakooo masta film,na katuuuu hatutakosaaa ku,subscribe,,,,,,,,,,shukraniiii tumefurahia sana kwa ep yetu ya leoooo,kaziiiii poa sanaaaaa,paka hapaaaa tulipofikiaaa,,,,,mr adery asanteee kwa ukarimu ,na kuezaaa kutusikilizaaa upandeee wa maaoni,yetuuuu.,,,,,,,,,,tunazidiiii kusubiria muendelezoooo wa ep ijaoooooo,,,,,,,,, kilaaa tukisongaaaa na utamuuu naoooo unaziiidiiiii,,,,,,shukrani kwa nyoteeeee,

  • @IsharaGidion
    @IsharaGidion 4 месяца назад

    Baba alim noma ❤❤❤❤🎉

  • @FatumaZuberi-m8f
    @FatumaZuberi-m8f 4 месяца назад +2

    Wa kwanza Leo kutoka Kilimanjaro same👍noamba like🎉🎉

  • @zachariamakale
    @zachariamakale 4 месяца назад +1

    Zacharia omali makale from Kenya 🇰🇪 nawapenda sana watanzania

  • @galolegift7192
    @galolegift7192 4 месяца назад

    🤣🤣🤣🤣prince kama msomali vile Hana hata kifua jamani😂nimecheka sababu kafanana jiran

  • @WardaKambi
    @WardaKambi 4 месяца назад +1

    Ila uyu Mzee hata Kwa hali ya kawaida uwez kuona tabasam lake anajua sana baba Arima

  • @maureenopili-xx3uq
    @maureenopili-xx3uq 4 месяца назад +2

    Am the first one today ❤❤❤❤❤Love

  • @SalomeMideva
    @SalomeMideva 4 месяца назад

    Wee kipesile unatisha mm kipe naye 🤣🤣eeh hongera sana